Uhasama Kati Ya Mataifa Ya Afrika Mashariki Unaipeleka Wapi Jumuiya Hiyo? 19 October 2020 Mahusiano ya mataifa ya Afrika Mashariki yako katika sura ya mchafukoge na kizungumkuti. Kila nchi imejiundia hasimu wake. Hakuna mgogoro unapatiwa ufumbuzi wa kudumu.