According to the statement, medical experts are yet to determine whether the poison resulted from physical torture or was intentionally administered during Nondo’s abduction.
Although Tanzanian law prohibits transferring small-scale mining licenses to foreigners, many Chinese investors acquire them under the guise of providing technical support
Mabadiliko hayo yanaihusu Benki ya Acess iliyonunuliwa na Selcom. BancABC itabwadilishwa jina na kuwa Access Bank, baada ya kununuliwa na Benki ya Nigeria. Kilimanjaro Co-operative na Tandahimba Co-operative zinaungana na kuunda Co-operative Bank of Tanzania Limited
Wadau wa sekta ya uziduaji nchini wameitaka Tanzania kuwa na tahadhari katika suala la mhamo wa nishati, kwani linaweza kuleta athari kwa jamii na watu wenye kipato cha chini.
Kwa mwaka 2022 pekee wafungwa 3,262, walirudia makosa baada ya kutoka gerezani, wengi wao wakiwa ni walioachiwa huru baada ya kutumikia vifungo vifupi.