
Wadau Waitaka Tanzania Kuwa na Tahadhari Katika Kuhamia Kwenye Nishati Safi
Wadau wa sekta ya uziduaji nchini wameitaka Tanzania kuwa na tahadhari katika suala la mhamo wa nishati, kwani linaweza kuleta athari kwa jamii na watu wenye kipato cha chini.








