Nimeishi na Virusi vya UKIMWI kwa Miaka 27 Bila Mwenyewe Kujijua 24 August 2021 Baada ya kumpoteza mpenzi wangu, hali yangu imenifanya nisite kuwaambia watu wangu wengine wa karibu ukweli kwani nahofia kuwapoteza na wao pia.