
Watoto Wafanye Nini Likizo Hii Zaidi ya Kutazama Runinga na Kutumia Simu?
Tukumbuke kwamba watoto wetu hawahitaji ratiba ngumu, wala shughuli za gharama kubwa.

Tukumbuke kwamba watoto wetu hawahitaji ratiba ngumu, wala shughuli za gharama kubwa.

Tuwafundishe watoto kutatua changamoto zao wenyewe kabla ya kutuhusisha. Si lazima kila tatizo lije kwa mzazi.

Ukweli ni kwamba kujihisi vibaya haitusaidii. Kinachotubadilisha ni kujielewa na kutafuta njia bora zaidi za kushughulikia hisia zetu kabla hazijatuongoza vibaya.

Tukumbuke kwamba watoto kutuomba msaada si lazima watumie maneno.

Tunapomzunguka msichana kwa imani na upendo, tunamjengea uwezo wa kujiona kwa macho mapya.

Wengi wetu tulikua kwenye familia ambako hisia hazikupewa nafasi. Tulipolia, tuliambiwa “Nyamaza” au “Usilie kama mtoto mdogo.” Tulipokasirika, tulisukumiwa chumbani na kuambiwa “Nenda kalale.”

Kwa msaada, upendo na uvumilivu, watoto wengi hukua wakishinda hofu hizi.

Tunaweza kuwathamini wazazi wetu kwa walichojitahidi kufanya, lakini sisi hatuna kisingizio cha kuendeleza mzunguko wa ukatili.

Tukitaka watoto wetu wakue wakiwa na ujasiri, wenye kujiamini na tayari kushinda changamoto za maisha, basi tuwe makini na maneno yetu.

Familia zetu zinapoongea kwa uwazi na bila kejeli kuhusu hedhi, tunavunja ukimya na unyanyapaa unaozunguka afya ya uzazi katika jamii zetu.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved