Kutoka Ukatibu Mkuu Kiongozi Mpaka Ubunge wa Kuteuliwa: Je, Ni Kupanda na Kushuka kwa Dk Bashiru Ally?
Wengi wanadhani ni hivyo, lakini siyo wote.
Wengi wanadhani ni hivyo, lakini siyo wote.
Kwamba ACT-Wazalendo wameamua kufuata ushauri wa hayati Maalim Seif Sharif Hamad wa nani awe mrithi wake kwa nafasi ya Makamo wa Kwanza wa Rais inaonesha ni kwa kiasi gani kiongozi huyo alikuwa na ushawishi usiokifani kuweza kuamua mambo kutokea kaburini.
Shamrashamra za Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya zinaendelea sehemu mbalimbali duniani. Ndugu, jamaa na marafiki wanajumuika kwa furaha wakibadilishana mawazo na kujipumzisha. Ni wakati
Bunge la 12 limepewa jina la ‘Bunge la Kijani’ na baadhi ya wachambuzi. Ni bunge ambalo halitakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani wala Baraza Kivuli la Mawaziri. Tutegemee nini kutoka kwa bunge hili?
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved