Serikali, Wadau Waongeze Nguvu Kukabiliana na Tatizo la Sumukuvu Tanzania 25 June 2024 Ugonjwa wa sumukuvu siyo tu unaathiri wakulima kwa kukosa masoko kwa mazao yao bali pia afya na ustawi wa Watanzania kwa ujumla.