Wananchi Waishio Bonde la Mto Msimbazi Hatarini Kupata Tatizo la Usugu wa Dawa 8 April 2022 Ni kutokana na uwepo wa matumizi holela ya dawa za kutibu kuku na nguruwe yanayofanywa na wafugaji wa eneo hilo.