Uongozi wa shule hiyo ulificha taarifa za mauaji ya mwanafunzi huyo aliyeuawa na mlinzi wa shule hiyo kwa kudhani kwamba alikuwa ni mwizi na kuamuru mwili huo utupwe mtoni kupoteza ushahidi wa tukio hilo.

Ni mauaji yaliyotokea Oktoba 14, 2012, jijini Mwanza dhidi ya Kamanda Barlow na kupelekea kuhukumiwa kwa vijana waliohusika na mauaji hayo waliokuwa wanajifanya Askari Jamii.