Mama Samia Kuna Haya Mengine Kwa Vijana 18 June 2021 Fao la kujitoa na vigezo visivyo na uhalisia ili kuweza kupata mikopo kutoka halmashauri ni miiba kwa ustawi wa vijana.