Ushauri Watolewa kwa Wanawake Wajasiriamali Mtandaoni
Mbali na kukumbana na changamoto mbalimbali, wajasiriamali wanaotumia mitandao kufanya shughuli zao ambao The Chanzo imeongea nao walikiri kwamba mitandao ya kijamii imekuwa mkombozi kwao kwani inawasaidia kuendesha maisha yao kiurahisi.