‘Animal Farm’ ya George Orwell Inavyotusaidia Kuelewa Dhana ya Uongozi wa Umma na Uwajibikaji
Riwaya hii imeandikwa katika dhana ya anthropomofiki, yaani sifa, hisia na hulka za binadamu zimefanywa na kutekelezwa na wanyama, ili kusawiri mapinduzi ya kiutawala yaliyofanyika huko Urusi miaka ya 1917.