Wadau Wahimiza Ufikishwaji Elimu ya Uzazi kwa Vijana Wenye Ulemavu 8 May 2022 Wataalamu wanaonya kwamba endapo kama kundi hilo litaendelea kukwepwa kwenye elimu ya afya ya uzazi haki zao za msingi zinaweza zikawa hatarini kukiukwa.