Bubujiko la Machozi ya Watu Wenye Ualbino Tanzania 27 May 2021 Taarifa ya hivi karibuni inayohusu kuuawa kwa mtoto mwenye ualbino ni habari mbaya na mpya kuanza kusikika tena masikioni mwa jamii ya watu wenye ualbino yenye kujenga hofu na kutia wasiwasi.