Maandamano ya CHADEMA Yalifanikiwa, Tena Sana
CHADEMA wamefanikiwa kutuma ujumbe kwamba Serikali inayotumia jina la Watanzania kuhalalisha maamuzi yake mbalimbali, kimsingi, haijali maslahi ya Watanzania.
CHADEMA wamefanikiwa kutuma ujumbe kwamba Serikali inayotumia jina la Watanzania kuhalalisha maamuzi yake mbalimbali, kimsingi, haijali maslahi ya Watanzania.
Maendeleo yataacha kuwa ya watu kama upatikanaji wake utawaacha wengine bila makazi au ardhi za kilimo, huku fidia zao zikicheleweshwa.
Tunapaswa kuhakikisha kwamba kila uwekezaji tunaofanya kama walipa kodi unaleta tija tunayoitarajia, ambayo ni kuifanya Tanzania kuwa bora zaidi ilivyo sasa.
Kwanza, siyo kazi ya walipakodi kumtengenezea mwajiri waajiri wanaokidhi sifa anazozitaka!
Katika mazingira ambapo hakuna mtu hata mmoja aliyetiwa nguvuni mpaka sasa kutokana na vitendo hivyo, tunaanzaje kuacha kuwawajibisha polisi, tunaoaminishwa kwamba wapo kwa ajili ya usalama wetu?
Kuharibu biashara za wananchi ili kupendezesha mji, na kuwafukuza wananchi kutoka kwenye ardhi zao kupisha upanuzi wa hifadhi za taifa ni vita dhidi ya masikini inayopaswa kupingwa na kila Mtanzania.
Watu wanaotaka X ifungwe wangebomoa nyumba ili kumtoa mende aliyekimbilia uvunguni mwa kitanda!
Jinamizi la ajali za barabarani linaloendelea kuitafuna Tanzania na kuwaacha wananchi wake kwenye misiba, majonzi, na simanzi zisizoisha limenifanya nitakari kwa muda juu ya ni
Tukisema tusubiri mpaka mambo yawe kama vile tunavyoyatamani inaweza kutuchukua karne mpaka tuweze kutimiza wajibu wetu wa kiraia, au pengine tusiweze kufanya hivyo milele.
Kama kweli tunadhani ugatuzi wa madaraka ni muhimu kwa maendeleo ya watu wetu, basi ni muhimu tuwaruhusu wachague viongozi wao, badala ya kuwaacha waendelee kutawaliwa kwa niaba ya rais.
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved