Maofisa Wawili wa Jeshi la Polisi Wakutwa na Hatia ya Mauaji Mtwara, Wahukumiwa Kunyongwa
watuhumiwa waliopatikana na hatia ni Gilbert Kalanje, aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa (OC-CID) wilaya ya Mtwara, na Charles Onyango, aliyekuwa Mkuu wa Kituo cha Polisi Mtwar