
Kwa Nini ni Wakati wa Kupunguza Kodi Kwenye Huduma za Fedha kwa Simu na Sio Muda Wa Kuongeza Tena
Tozo katika huduma za kifedha kwa njia ya simu zimekuwa zikiangaliwa kama kisima kisichokauka, hata hivyo ushahidi unaonesha mzigo mkubwa huleta athari zisizohimilika, kiuchumi na kijamii

