Buku la Biubwa Amour Zahor Limefunua Chano Hadharani 15 November 2021 Ni kitabu cha Biubwa Amour Zahor: Mwanamke Mwanamapinduzi kilichozinduliwa Dar es Salaam mnamo Novemba 13, 2021.