Ujenzi wa Barabara kwa Hisani ya Watu wa Goba Wazua Gumzo Dar 19 March 2024 Pengine kuna umuhimu wa kuweka mabango kwenye kila eneo ambalo wananchi wanajitoa ili taarifa hizo zikae kwa uwazi, na kuchochea uwajibikaji.