Buriani Bernard Membe, Mwanasiasa Sungura, Mwanadiplomasia Nguli 19 May 2023 Daima nitasimama na mema ya Membe, mwanafamilia mwema, mwanaharakati mahiri, Mkristo safi, mgombea urais mtata na rafiki wa kweli.