Sakata la Msajili na Tishio la Kuifungia CHADEMA: Ni Msajili Wa Vyama au Mdhibiti?
Kisheria alichoandika Msajili sio moja ya sababu inayoweza kufanya chama cha siasa kufutwa au usajili kusitishwa

Kisheria alichoandika Msajili sio moja ya sababu inayoweza kufanya chama cha siasa kufutwa au usajili kusitishwa

Uwepo wa Wabunge hao unavunja Ibara ya 51(2)(c) ya Mkataba wa Jumuiya unaoeleza kuwa Mbunge atapoteza sifa za kuwa Mbunge wa Jumuiya endapo atachaguliwa kuwa mbunge wa bunge la nchi mwanachama.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved