
Selemani “Bwege” Bungara: Mwanasiasa Aliyefikiria Zaidi Haki za Watu Kuliko Umaarufu Wake wa Kisiasa
Ofisi ndogo ya Bunge Dodoma, Mtaa wa Shaaban Robert. Nimesimama eneo la mapokezi kusubiri kupanda ngazi kwenda kwenye vikao vya Kamati za Bunge. Mtu mzima








