
Nalilia Miradi ya Gesi Asilia Lindi na Chuma na Makaa ya Mawe Ludewa
Miradi hii ingeokoa fedha za kigeni tunazotumia kuagiza bidhaa mbalimbali kutoka nje, ingezalisha ajira nyingi sana, na ingebadilisha kabisa uchumi na maisha ya watu wa Njombe, Lindi, na mikoa jirani.








