Sensa 2022: Ndoa Zimeongezeka Kidunchu, Talaka, Kutengana Juu
Taarifa za sensa za mwaka 2022 zinaonesha ndoa zimeongezeka kutoka asilimia 51.1 ya watu wote wenye umri wa kuoa na kuolewa kwa takwimu za sensa mwaka 2012 mpaka asilimia 51.4 kwa sensa ya 2022.