Vijana Zaidi ya 100 wa Mradi wa BBT Wadaiwa Kuondoka Kambini: ‘Hakuna Mwelekeo’
Wakati Serikali ikieleza kwamba inafanya kila linalowezekana kuboresha ustawi wa vijana hao kambini, wenyewe wanadai hali ni ngumu na kulazimika kutafuta shughuli nyingine za kujikimu.