The Chanzo is hosting Digital Freedom and Innovation Day on April 20, 2024. Register Here

Search
Close this search box.

Category: Politics

Tanzania Imerudi Kwenye Nyakati za Giza?

Najiuliza tena au ni sisi raia pekee tunaoamini maneno ya Rais na kuyachukulia kwa uzito au kuna namna watendaji wake wana uhuru wa kuyatafsiri  kwa namna wanavyopenda; kwamba kwao zile 4R zinaweza kuwa 4K; Kuteka, Kutesa, Kuua na Kupoteza?