
Waliokuwa Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Wakurugenzi Sasa Rasmi Kwenye Kipute cha Kura za Maoni CCM Baada ya Mkeka Mpya wa Uteuzi Kutoka
Wataeule hao walitakiwa kuandika rasmi kuonesha nia zao za kuingia kwenye uchaguzi ujao.
Wataeule hao walitakiwa kuandika rasmi kuonesha nia zao za kuingia kwenye uchaguzi ujao.
CCM inaingia katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa na silaha tatu kuu: rekodi ya utekelezaji wa Ilani ya 2020–2025, dira ya maendeleo kupitia Ilani ya 2025–2030, na msingi mpana wa wanachama kote nchini.
The party’s call comes as authorities in Zanzibar are scrambling to find solutions to congestion and delays at the island’s most important ports as Ramadan approaches.
The author balances giving enough detail to substantiate his narrative and not too much to bog down the story with technical nitty-gritty in an overly academic way.
Tofauti na SUK ya 2010-2015 ambapo kambi mbili ndani ya Serikali, chama tawala na upinzani, zilifanya kazi kwa kuhofiana na kutoaminiana, SUK ya Mwinyi imekuwa tofauti kabisa.
The government says the pause is just temporary and President Mwinyi will soon resume his tradition of briefing journalists every month-end.
Tanzania inapaswa kurekebisha Katiba yake na kuweka utaratibu utakaoziruhusu nchi zingine za Afrika, zinazotaka kufanya hivyo, kujiunga na Muungano.
Namna pekee ambayo haitakuwa na madhara kwa ACT-Wazalendo ni endapo kama chama hicho hakimaanishi kile inachosema, yaani inatishia nyau tu lakini inajua haiwezi kutoka kwenye SUK.
Hizi hapa sababu nne za kwa nini SUK Zanzibar imefeli na kwa nini ni wakati wa kutafakari mbinu mbadala za ushiriki wa upinzani katika Serikali.
Baadhi ya hayo ni kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara pamoja na suala la uwekezaji kwenye bandari ya Dar es Salaam.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved