
Kitendawili Utekelezaji Dira 2050: Rais Samia Atoa Wito Kuchapa Kazi na Kuacha Mazoea
Akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi jijini Dodoma, Julai 17, 2025 amesema ni wakati sasa wa kubadili mtizamo wa namna tunavyofanya kazi na kupimana.
Akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi jijini Dodoma, Julai 17, 2025 amesema ni wakati sasa wa kubadili mtizamo wa namna tunavyofanya kazi na kupimana.
“Kwa kuwa siwezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba ya nchi na chama, haki, maadili, utu na uwajibikaji kwa wananchi, nimeamua kwa hiari yangu kujiuzulu nafasi yangu ya uongozi na utendaji serikalini.”
Hadi leo si TFF wala Bodi ya Ligi iliyoonyesha kuchukizwa na uamuzi mbovu uliotawala msimu mzima wa 2024/25 na waamuzi wanaongezeka kiburi kwa kuwa wanaona hatua hazichukuliwi.
Kunahitajika mageuzi muhimu ya kuifanya Bodi ya Ligi iwe na muundo wa kisasa na unaoweka uwajibikaji.
Ratiba isipangwe na kubadilishwabadilishwa kiholela.
CCM inaingia katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa na silaha tatu kuu: rekodi ya utekelezaji wa Ilani ya 2020–2025, dira ya maendeleo kupitia Ilani ya 2025–2030, na msingi mpana wa wanachama kote nchini.
Wanasheria wanaeleza kuwa Kanuni haziwezi kuondoa haki inayotolewa na Katiba
Kada huyo wa CCM anatetea demokrasia ndani ya chama hicho kikongwe barani Afrika, uteuzi wa Rais Samia kama mgombea wa CCM kwa nafasi ya urais kwenye uchaguzi ujao, na madai ya CCM kutumia vyombo vya dola kubakia madarakani.
Baadhi wanaweza kusema Wazanzibari watashiriki kuamua mambo yetu Wabara kama wataingia kwenye kamati za utendaji, lakini midhari tumeshasema kwamba hivi vyama ni vya kitaifa, basi ni lazima ushiriki wa wote sit u uonekane, bali uwe halisi.
Waasi wa M23 wanaowezeshwa na Rwanda wameweza kuushika mji mkubwa wa Goma kwa mara ya pili toka mwaka 2013 walivyofurumishwa na kutoka katika mji huo.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved