Sababu za Mwamko Mkubwa wa Vijana Kugombea Nafasi za Uongozi Zatajwa

Wakati wengine wakibainisha kwamba hali hiyo inatokana na juhudi za vijana za kutaka kuonekana na mamlaka za uteuzi, wengine wameihusisha hali hiyo na mabadiliko ya mitazamo ya kijamii iliyokuwa ikiwazuia vijana kugombea nafasi hizo.
Parachichi Inavyokimbiza Kilimo cha Kahawa Mbozi

Wakulima wanasema kilimo cha kahawa hakina tija na kinahitaji gharama kubwa zaidi kukiendeleza ukilinganisha na parachichi.
Hivi Ndivyo UVIKO-19 Inavyoliza Wafanyakazi Sekta ya Utalii Zanzibar

Wafanyakazi wengi ambao kazi zao zimeharibiwa na janga la UVIKO-19 hawaoni juhudi za Serikali kupunguza makali yatokanayo na athari za ugonjwa huo hatari.
Mjane wa Katibu wa Zamani wa Bunge Anayepigania Haki Yake kwa Miaka 23

Mama huyo anadai wasaidizi wa Rais Magufuli wanamdanganya, si kweli kwamba wanasaidia wanyonge.
Iringa Kwenye Mkakati Wa Kubadilisha Maisha Ya Watoto Wenye Ulemavu

Imani potofu, umasikini na umbali wa shule kumewafanya wazazi wengi kuwaficha watoto wao wenye ulemavu hivyo kuwanyima fursa ya kupata elimu. Serikali ya Mkoa wa Iringa inataka kubadilisha hali hiyo.
Young Activist’s Twelve-Year Ordeal In Search Of Education

They say human beings are living libraries, and this is quite true to Alphonce Lusako, a thirty-two-year-old human rights activist who struggled for twelve years just to get his first Bachelor’s Degree. The soft-spoken young man has gone through trials and tribulations, but thanks to his friendly-looking face, you can hardly notice it while talking […]
Bunge la Kumi na Mbili: Tutarajie Upinzani Bila Wapinzani?

Bunge la 12 limepewa jina la ‘Bunge la Kijani’ na baadhi ya wachambuzi. Ni bunge ambalo halitakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani wala Baraza Kivuli la Mawaziri. Tutegemee nini kutoka kwa bunge hili?
Uchaguzi Mkuu 2020: Je, Watanzania Watapiga Kura?

Jumla ya wapiga kura milioni 29.19 wamejiandikisha kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu 2020. Je, watajitokeza kufanya hivyo ifikapo Octoba 28?
The Story Of A Mobile App Seeking To Foster Open Contracting In Tanzania

Zabuni App seeks to enhance transparency and accountability in contracting in Tanzania.
Social Media As Frontliners for Tanzania 2020 Election

Billboards, posters, and other creatives, this is the look of major cities in Tanzania. It’s election time. Unlike the 2015 election, however, this time we see the prominence of the ruling Chama cha Mapinduzi’s (CCCM) adverts; it’s all green and yellow in every corner of Tanzania.