Kwa Watanzania Waliofariki 2024, Tunawakumbuka na Kusherehekea Maisha Yenu
“Wafu wetu kamwe hawawi wafu kwetu mpaka pale tunapokuwa tumewasahau.”
“Wafu wetu kamwe hawawi wafu kwetu mpaka pale tunapokuwa tumewasahau.”
Tunawapongeza kwa huduma zao hizo kwa jamii, na kutumai kwamba kutambuliwa kwao huko kutawahamasisha wengine kubuni mbinu anuwai zitakazowawezesha kuzitumikia vyema jamii zao.
Mkinzano huu pia utavikumba vyama vyote kwa kadiri pengo kati ya walala hoi na walalahai linazidi kuongezeka na ahadi za maisha bora zinaonekana hazitatimia hazijatekelezwa bado, bali ni kwa sababu hazitekelezeki.
Kuna mengi yametokea mwaka huu yanayowalazimisha Watanzania kujivunia hatua nchi yao imepiga kuelekea uhuru wa kiuchumi na kijamii.
Africa has leverage against the rich in two areas: the decarbonisation of Western economies, i.e., the green transition agenda, and the commodification of climate mitigation. In both, Africa plays a twofold, very critical role.
Kuna yaliyowagawa wananchi na kulitia aibu taifa, lakini pia yaliyowaunganisha na kuwafakharisha Watanzania.
Kunahitajika juhudi kubwa kurejesha mapenzi kwa mchezo huo, kurejesha unazi kama ulivyokuwa kwa timu za Bandari, JKT Mbweni na JWTZ ambazo zilikuwa zinavuta hisia za watu.
He calls on people fighting for justice worldwide to “continue naming and shaming the brutes in 2025 and beyond.”
Safari nyingi nzuri hupangwa mapema, hivyo tujipange kwa wakati, kwa kukata tiketi na kuthibitisha sehemu za malazi mapema.
Wachimbaji kutoka China wamekuwa wakinunua migodi kutoka kwa wachimbaji wadogo kwa kisingizio cha kutoa msaada wa kiufundi
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved