The Chanzo is hosting Digital Freedom and Innovation Day on April 20, 2024. Register Here

Tag: headlines

Bajeti ya Kwanza Utekelezaji Dira 2050 Kusomwa Juni 11, Trilioni 62.3

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omar amesema bajeti hiyo ni ya kipekee kwani ndiyo bajeti ya kwanza katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano pamoja na Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025-2030.

×