
Benki Kuu Tanzania Yaweka Rekodi Mpya ya Akiba ya Dhahabu,Yafikia Shilingi Bilioni 821-Dunia Yaendelea Kuikimbilia Dhahabu
Dhahabu imeendelea kuwa bidhaa inayokimbiliwa wakati wa mashaka, na kwa sasa duniani dhahabu imeendelea kupanda thamani kutokana na mahitaji kuongezeka.







