TELEZA: Mbakaji anayevamia nyumba kwa nyumba na kuzua hofu Muriet Arusha

Wakazi wa Arusha wamejikuta katika wimbi la hofu baada ya wimbi baada ya mtu anayevamia nyumba na kubaka kuibuka tena
Panya Road Wavamia Zingaziwa Chanika – Dar es Salaam, Wakazi na Majeruhi Wasimulia Hali Ilivyokuwa

Vijana wanaosadikika kuwa ni kundi la kihalifu linalojulikana kama “Panya road” wavamia mtaa wa Gogo, Kata ya Zingaziwa Chanika
Ben Ishabakaki: Katiba Mpya Italeta Mageuzi Kwenye Mfumo wa Utoaji Haki Tanzania

Wakili huyo hata hivyo anaonya kwamba Katiba na sheria nzuri havitoi uhakika kwamba mfumo wa haki utaimarika. Anasema mageuzi ya kisheria ni lazima yaambatane na mageuzi ya kitabia na kimatendo miongoni wato haki.