The Chanzo is hosting Digital Freedom and Innovation Day on April 20, 2024. Register Here

Search
Close this search box.

Infographic: Mwenendo wa Kupanda kwa Bei za Bidhaa na Huduma Tanzania

subscribe to our newsletter!

Julai 11,2022, Ofisi ya Taifa ya Takwimu ilitoa taarifa kuhusu mfumuko wa bei  kwa mwezi Juni 2022 ambao umefikia asilimia 4.4 kutoka asilimia 4 iliyorekodiwa mwezi Mei 2022. Ongezeko hili limesababishwa hasa na kupanda kwa bei za bidhaa na huduma muhimu kama inavyooneshwa kwenye kielelezo:

Mwenendo wa mfumuko wa bei

 

Digital Freedom and Innovation Day
The Chanzo is hosting Digital Freedom and Innovation Day on Saturday April 20, 2024 at Makumbusho ya Taifa.

Register to secure your spot

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *