The Chanzo is hosting Digital Freedom and Innovation Day on April 20, 2024. Register Here

Rais Samia Atangaza Baraza Jipya la Mawaziri, Zipo Jumla ya Wizara 27

Baadhi ya sura mpya katika Baraza jipya ni pamoja na  Juma Zuberi Homera, Joel Arthur Nanauka, Paul Makonda pamoja na mtoto wa Rais Samia, Wanu Hafidh.

subscribe to our newsletter!

Leo Novemba 17, 2025, Rais Samia Suluhu ametangaza Baraza la Mawaziri lenye Wizara 27 na Manaibu Waziri 29. Wakongwe waliokuwepo kwenye Baraza lililopita akiwemo Naibu Waziri, Dotto Biteko, Hussein Bashe, Innocent Bashungwa, Jenista Mhagama, Pindi Chana, Selemani Jafo na Damas Ndumbaro wameachwa kando kwenye baraza la sasa.

Baadhi ya sura mpya katika Baraza jipya ni pamoja na  Juma Zuberi Homera, Joel Arthur Nanauka, Paul Makonda pamoja na mtoto wa Rais Samia, Wanu Hafidh.

1. Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waziri: Ridhiwani Jakaya Kikwete

Naibu Waziri: Regina Ndege Qwaray

2. Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji

Waziri: Prof. Kitila Alexander Mkumbo

Naibu Waziri: Pius Stephen Chaya

3. Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana- Waziri: Joel Arthur Nanauka

4. Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira

Waziri: Mhandisi Hamad Yusuf Masauni

Naibu Waziri: Dkt. Festo John Dugange

5. Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu

Waziri: William Vangimembe Lukuvi

Naibu Waziri: Ummy Hamisi Nderiananga

6. Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano

Waziri: Deus Clement Sangu

Naibu Waziri: Rahma Riadh Kisuo

7. Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

Waziri: Prof. Riziki Silas Shemdoe

Naibu Waziri (Elimu): Reuben Nhamanilo Kwagilwa

Naibu Waziri (Afya): Jafar Rajab Seif

8. Wizara ya Fedha

Waziri:Balozi Khamis Mussa Omar

Naibu Waziri: Laurent Deogratius Luswetula

Naibu Waziri: Mshamu Ali Munde

9. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Waziri: Balozi Mahmoud Thabit Kombo

Naibu Waziri: Dkt. Ngwaru Jumanne Maghembe

Naibu Waziri: James Kinyasi Millya

10. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Waziri: Boniface George Simbachawene

Naibu Waziri: Denis Lazaro Londo

11. Wizara ya Kilimo

Waziri: Mhe. Daniel Godfrey Chongolo

Naibu Waziri: Mhe. David Ernest Silinde

12. Wizara ya Maji

Waziri: Jumaa Hamidu Aweso

Naibu Waziri: Kundo Andrea Mathew

13. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa-Waziri: Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho

14. Wizara ya Ujenzi

Waziri: Abdallah Hamis Ulega

Naibu Waziri: Mhandisi Godfrey Msongwe Kasekenya

15. Wizara ya Uchukuzi

Wazir:Prof. Makame Mbarawa Mnyaa

Naibu Waziri: David Mwakiposa Kihenzile

16. Wizara ya Viwanda na Biashara

Waziri: Judith Salvio Kapinga

Naibu Waziri: Patrobas Paschal Katambi

17. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Waziri: Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki

Naibu Waziri: Switbert Zacharia Mkama

18. Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum

Waziri: Dkt. Dorothy Onesphoro Gwajima

Naibu Waziri: Maryprisca Winfried Mahundi

19. Wizara ya Afya

Waziri: Mohamed Omary Mchengerwa

Naibu Waziri: Dkt. Florence George Samizi

20. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Waziri: Prof. Adolf Faustine Mkenda

Naibu Waziri:Wanu Hafidh Ameir

21. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Waziri: Leonard Douglas Akwilapo

Naibu Waziri:Kaspar Kaspar Mmuya

22. Wizara ya Maliasili na Utalii

Waziri: Mhe. Ashatu Kachwamba Kijaji

Naibu Waziri: Hamad Hassan Chande

23. Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

Waziri: Prof. Palamagamba John Kabudi

Naibu Waziri: Hamisi Mwinjuma

Naibu Waziri:Paul Christian Makonda

24. Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Waziri: Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa

Naibu Waziri: Mhe. Ng’wasi Damas Kamani

25. Wizara ya Madini

Waziri:  Anthony Peter Mavunde

Naibu Waziri: Dkt. Steven Lemomo Kiruswa

26. Wizara ya Nishati

Waziri: Deogratius John Ndejembi

Naibu Waziri: Salome Wycliffe Makamba

27. Wizara ya Katiba na Sheria

Waziri:  Juma Zuberi Homera

Naibu Waziri:  Zainabu Athman Katimba

Journalism in its raw form.

The Chanzo is supported by readers like you.

Support The Chanzo and get access to our amazing features.
Digital Freedom and Innovation Day
The Chanzo is hosting Digital Freedom and Innovation Day on Saturday April 20, 2024 at Makumbusho ya Taifa.

Register to secure your spot

Did you enjoy this article? Consider supporting us

The Chanzo is supported by readers like you.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Posts

×