Jinsi ‘Tweet’ ya Mkurugenzi wa Asas Diaries Ilivyozua Gumzo Mitandaoni

Ni ile iliyovujisha ujumbe wa kuomba kazi kutoka kwa mmoja wa watumiaji wa mtandao huo wa kijamii.
Mchuano Mkali Urais TLS

Wagombea watano wanapambana kumrithi Rais wa sasa wa TLS, Dk Rugemeleza Nshala. Haya ni maono yao na mikakati ya kuibadilisha TLS kama watapewa ridhaa na wanasheria wenzao.
Wasomi Watofautiana Hoja ya Rais Samia Kubadilisha Baraza la Mawaziri

Ni kuhusiana na matakwa ya kikatiba na kisiasa ya hatua hiyo.
Urais wa Samia Suluhu Unamaanisha Nini kwa Ujenzi wa Tanzania Mpya?

Matumaini ya wananchi kwa Rais Suluhu yapo juu huku Rais huyo wa sita wa Tanzania akichukua taifa lililogawanyika kisiasa.