
The Wrong Test for Power, and Why Parentage and Faith Shouldn’t Define a Leader
Judging a Vice President by their mother’s birthplace or religion is a test Tanzanians should not set.

Judging a Vice President by their mother’s birthplace or religion is a test Tanzanians should not set.

Unaposoma Barua Ndefu, jambo la muhimu kuliko yote ni jinsi mwandishi anavyotupa fursa ya kuuona ulimwengu kupitia jicho ya mwanamke.

A new biography reveals how one Swahili woman’s personal story illuminates centuries of East African history, challenging how we understand wealth, gender, and civilisation.

Ukifanikiwa kusoma kitabu hiki, nitafurahi kujua wewe ni #TeamKamange au #TeamSarahani?

Aliingia kwenye sanaa ya ushairi kwanza kwa kuhifadhi Qur’an na kisha kusoma Kiarabu, fasihi za kiarabu na fani nyingine za dini ya Kiislamu.

Kitabu hiki ni mashairi ya Kamange na Sarahani yaliyokusanywa na Abdurrahman Saggaf Alawy na Ali Abdalla El-Maawy; na kuhaririwa na Abdilatif Abdalla.

Shafi amejihami kwa kukiita kisa hiki cha kubuni. Nami naogopa kuwataja ninaodhania ni watu fika katika mkasa huu.

Soma utenzi huu na utafakari ni nini wapaswa kumtendea mwenza, ama mtarajiwa, wako?

Simulizi ya kale ya Fumo Liyongo ina mafunzo mengi kwa muktadha wetu wa sasa, ikiwemo ukweli kwamba tabia za watawala hufanana, na hivyo wanaopambania haki hutumia mbinu ambazo watawala huzidharau

Kwa mtu anayependa kujifunza ushairi wa Kiswahili, hiki ni kitabu kizuri kwa sababu lugha yake ni ya ufupisho haswa.