Author: Joel Ntile

Changamoto na Haki za Wafanyakazi wa Majumbani

Zaidi ya asilimia 65 ya wafanyakazi wa majumbani hukiri kuwa wanapitia unyanyasaji wa kingono, kudhihakiwa, kufanyiwa mashambulio ya aibu, kutokulipwa kwa wakati au kulipwa tofauti na makubaliano au kutokulipwa kabisa.