Dar es Salaam ya Uwanja wa Vita Baridi na Paradiso ya Wapigania Uhuru
Dar es Salaam ulikuwa mji wa kipekee miongoni mwa miji iliyokuwa uwanja wa vita baridi duniani kwani vuguvugu la ukombozi dhidi ya ukoloni duniani lilikuwa limebaki na kushika kazi zaidi barani Afrika