Why Lawful, Professional Policing Is Tanzania’s Real Justice Reform
Tanzania’s justice monitoring guide should test whether police and courts build cases lawfully enough to last—because procedure is a precondition for justice, not an obstacle to it.

Tanzania’s justice monitoring guide should test whether police and courts build cases lawfully enough to last—because procedure is a precondition for justice, not an obstacle to it.

Wanaume tukiacha leo kuwafanyia ukatili wanawake chini ya visingizio mbalimbali, tatizo litaacha kuwa kubwa kama linavyoonekana hivi sasa.

Historia inaonesha hakuna mapambano ya haki yaliyowahi kushindwa endapo kama watu wameweza kumtambua adui yao na kumpiga vita kwa mwendelezo.

Ubunifu hauwezi kushamiri kwenye jamii inayoendekeza uimla na heshima isiyohojiwa kwa mamlaka.

Eid Al Fitr itutafakarishe kuhusu mustakabali wa jamii zetu, ikiwemo kujiuliza endapo kama tunatoa mchango wetu ipasavyo kuzifanya kuwa bora zaidi kuliko zilivyo sasa.