Je, Dunia Inaweza Kupata Suluhu ya Kudumu ya Mgogoro wa Israel na Palestine?
Je, pendekezo la kuwa na dola huru la Palestine linaweza kuepusha watu zaidi kuuwawa kutokana na mvutano huo wa kihistoria?
Je, pendekezo la kuwa na dola huru la Palestine linaweza kuepusha watu zaidi kuuwawa kutokana na mvutano huo wa kihistoria?
Siasa zitumike kuongoza, ila kila uamuzi wa kisiasa sharti utafsiriwe na wataalamu.
Bila mageuzi ya fikra, taifa litaendelea kukuza roho ya ufisadi ambayo itaitesa nchi karne nyingi zijazo.
Rais Samia hakatazwi kufanya mabadiliko, ila anahitaji kuanzisha mwendelezo kwenye Baraza la Mawaziri utakaoleta unyoofu Serikalini.
Kuhusu Katiba Mpya, hayati Magufuli alisema, wamwache kwanza afanye maendeleo. Samia anataka aachwe kwanza atoe elimu.
Watanzania hawana Katiba Mpya hivi sasa kwa sababu nia ya wanasiasa siyo kuifanya Tanzania kuwa na mazingira bora ya kuishi bali kujinufaisha kisiasa.
Ni muhimu kwa watatu hao wazungumze namna bora Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu watakavyofanya kazi bila migongano.
Kung’ang’ania madaraka, ambavyo Bongo alikusudia kufanya, ni mapinduzi. Kiongozi kuvunja Katiba au kunyamazisha mifumo ya nchi, ikiwemo kulifanya Bunge kukosa makali, ni mapinduzi.
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved