Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Pingamizi la Wakazi wa Isela, Songwe Kupinga Kuhamishwa Kupisha Hifadhi
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imefutilia mbali shauri namba 41 la mwaka 2023 la wakazi wa Isela kijiji Cha Ndolezi mkoani Songwe dhidi ya serikali na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kutaka kupisha hifadhi ya Kimondo.