Air Tanzania Yazuiwa Kuingia Anga la Umoja wa Ulaya
Taarifa hiyo inaeleza zaidi kuwa sababu kubwa ya kuiongeza Air Tanzania kwenye mashirika yaliyozuiwa ni zile za kiusalama wa anga ambazo zimeainishwa na Wakala wa Usalama wa Anga wa Umoja wa Ulaya (EASA).