Kinachoendelea CHADEMA ni Matokeo ya Mkinzano wa Kitabaka Ulioshindwa Kutatuliwa Tangu Kuanzishwa Kwake
Mkinzano huu pia utavikumba vyama vyote kwa kadiri pengo kati ya walala hoi na walalahai linazidi kuongezeka na ahadi za maisha bora zinaonekana hazitatimia hazijatekelezwa bado, bali ni kwa sababu hazitekelezeki.