Trilioni 1 Kutumika Kwenye Uchaguzi 2025: Maandalizi Yagharimu Bilioni 741.5 Kati ya Julai 2024 mpaka Mei 2025
Kati ya Julai 2024 mpaka Mei 2025, serikali imeweza kutumia kiasi cha Bilioni 741.5, katika maandalizi ya uchaguzi unatarajiwa mnamo Oktoba 2025.