
Je, Wafanyakazi Wanakumbuka Kuomba Fidia Pale Wanapopatwa na Majanga wakiwa Kazini?
Mara nyingi, ukosefu wa uelewa ndiyo sababu kuu inayowafanya baadhi ya wafanyakazi kushindwa kuchukua hatua za kudai fidia.

Mara nyingi, ukosefu wa uelewa ndiyo sababu kuu inayowafanya baadhi ya wafanyakazi kushindwa kuchukua hatua za kudai fidia.
Kumbuka kuwa mafao haya ni haki yako kama mwanachama, lakini kila fao lina masharti yake maalum.

Kuanzia Januari 1, 2025, mifuko ya hifadhi ya jamii imeanzisha mafao mawili mapya kwa wategemezi wa mstaafu aliyefariki dunia: pensheni ya mkupuo ya miezi 36 na msaada wa mazishi.

Fao la kukosa ajira ni muhimu sana kwani hutoa msaada wa kifedha kwa kipindi cha mpito baada ya kupoteza ajira bila kuathiri michango ya mwanachama.

Siyo kweli kwamba kikokotoo hicho kinapunguza mafao kwa mnufaika.

Moja ya sababu ni kutokuaminiana kati ya wanachama na wafanyakazi wa mifuko hiyo.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved