Zitto Kabwe: Kwa Kuiachia Siasa kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, CCM Inaumba Zimwi Litakalokuja Kuitafuna Yenyewe
Tunayoyaona yakitokea Angola, tunayoyaona yakitokea Mozambique, ni makosa ya FRELIMO na MPLA kuiachia siasa kwa vyombo vya dola. Huko ndiko CCM inaipeleka Tanzania kwa kasi ya ajabu.