
What is Magufuli’s Legacy on Conservation?
The late Head of State prioritised industrialisation even at the expense of the environment.

The late Head of State prioritised industrialisation even at the expense of the environment.

No one is telling Zanzibaris to leave the Stone Town of Zanzibar to ensure the preservation of the archipelago’s heritage nor have Egyptians forced to leave their ancestral land for the sake of preserving the pyramids. How come then that only the people of Ngorongoro are told to leave their ancestral land if the area is to be preserved?

Wasema ubunifu usiwepo kwenye ukusanyaji wa mapato tu bali hata kwenye uwazi wa matumizi yake.

Ukosefu wa ajira ni tatizo la kutegemea kwenye mfumo wa uchumi unaoweka mbele faida kuliko kitu kingine chochote kile.

Wengi wanadhani ni hivyo, lakini siyo wote.

Wagombea watano wanapambana kumrithi Rais wa sasa wa TLS, Dk Rugemeleza Nshala. Haya ni maono yao na mikakati ya kuibadilisha TLS kama watapewa ridhaa na wanasheria wenzao.

Ni wale waliofariki katika tukio la kuuaga mwili wa hayati John Magufuli katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.

Rais Samia anakabiliwa na changamoto za kukidhi matakwa ya makundi mbali mbali ya kijamii, kisiasa na kiraia. Wakati hawezi kukidhi matakwa ya kila kundi kwa kasi inayotakiwa na kundi husika, Rais Samia ana nafasi ya kuandika historia tofauti na ile ya mtangulizi wake.

Ni mambo ambayo wananchi wanategemea Rais Suluhu kuyafanyia kazi ndani ya siku zake 100 tangu aapishwe kuwa Rais wa Tanzania.

Ni kuhusiana na matakwa ya kikatiba na kisiasa ya hatua hiyo.