
Barua Yenye Jina Sahihi la Kufungiwa Kanisa la Gwajima Yapatikana, Shauri Kuanza Upya
Mawakili hao wanaeleza tayari wameshafanya mchakato wa kurudisha shauri hilo na wanategemea litapangiwa siku ya kusikilizwa.

Mawakili hao wanaeleza tayari wameshafanya mchakato wa kurudisha shauri hilo na wanategemea litapangiwa siku ya kusikilizwa.

The recurring incidents have sparked debate on social media about the constitutionality of restricting the movement of CHADEMA officials.

“ Kwa utaratibu wetu na mchakato ndani ya Chama cha Mapinduzi mpaka sasa hakuna mtu aliyeenguliwa au kukatwa kama ambavyo inaripotiwa katika vyombo vya habari,”

CHADEMA wameeleza kuwa viongozi hao wawili walikuwa kwenye safari za kuhudhuria vikao pamoja na mafunzo nje ya nchi baada ya chama hiko kupewa mwaliko.

He says he can no longer be part of an administration that “lacks motivation and adherence to the principles of the country’s constitution and the party, justice, morals, humanity, and accountability to the citizens.”

Uongozi bora haupaswi kuangalia hali ya mtu bali uwezo, maono na dhamira ya kweli ya kuwatumikia wananchi.

Kuna heshima katika kubaki mwaminifu, hata kama hukupita. Kuna thamani kubwa katika kuwa sehemu ya chama kikongwe, hata bila cheo.

Akiongea kwa njia ya simu wakili Kibatala amesema hiyo imetokana na mwingiliano wa shughuli mbalimbali za kimahakama.

The case, registered under Civil Application No. 16408/2025, will be heard by a panel of three judges

Kesi hiyo ya Kikatiba iliyofunguliwa dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mkuu wa Jeshi la Polisi inategemewa kusikilizwa kesho Julai 11, 2025
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved