
Wananchi Dar Waeleza Matamanio Yao Binafsi Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kuna wanaotamani kukuza mitaji yao kupanua biashara zao, wanaotamani elimu bora kwa watoto wao, na wale wanaotamani kuacha kuishi kwenye nyumba za kupanga.

Kuna wanaotamani kukuza mitaji yao kupanua biashara zao, wanaotamani elimu bora kwa watoto wao, na wale wanaotamani kuacha kuishi kwenye nyumba za kupanga.

Three decades in, systemic imbalances and repressive politics raise urgent questions about Tanzania’s democratic future.

The Office of the Registrar of Political Parties has cautioned Tanzanian political parties to strictly follow the law in their activities, warning it will not hesitate to act against any violations.

Kuhusu gharama za uchaguzi Mugasha amesema kuwa sheria imempa Msajili nguvu na wajibu mkubwa wa kuhakikisha utekelezaji wa masharti yake na amebainisha kuwa tayari fomu za kutangaza gharama za uchaguzi zimesambazwa katika maeneo yote nchini kuanzia kwenye majimbo 272 na kata 3,960.

Zanzibar’s retention of early voting deals a blow to opposition demands for electoral reform.

Writing a vision is a good start, but achieving its goals demands strong accountability and honest discussion about Tanzania’s governance challenges.

However, the party views this action as part of the government’s ongoing pattern of weaponising state institutions to target CHADEMA and curtail citizens’ rights.

I believe there is great importance in having a national consensus. Otherwise, I believe the current situation will bring even greater uncertainty in future elections, just as the bad state of the 2020 election has given birth to the uncertainty of the 2025 election

He says despite facing challenges, including taking the government to court over misconduct by ministers and public officials, he remained loyal to CCM until recently, when constitutional changes within the party stripped grassroots members of their right to select parliamentary candidates.

Nadhani kuna umuhimu mkubwa wa kuwa na muafaka wa kitaifa, muafaka kama ule uliofanyika mwaka 1960 miezi mitatu kabla ya uchaguzi.